← BackTAG Mwenge Christian Centre

Idara ya Uinjilisti na Umisheni

Habari njema kwa kila kiumbe

“Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.”Marko 16:15

Tunawafikia watu kwa Neno la Mungu kupitia mikutano ya Injili, ushuhudiaji, vipeperushi na ufuatiliaji wa waongofu wapya.

Soma vipeperushi
Kadi ya mwaliko wa kushiriki kuwaleta wengi kwa Yesu

Tunachofanya

Injili inawafikia watu

Idara huandaa mikutano na safari za Uinjilisti kwa kuwahudumia watu kwa Neno, maombi na upendo.

Ripoti ya Uinjilisti 2025

Mavuno katika maeneo tuliyofikia

Mwenge Gospel Runners ilihubiri Injili katika mikutano minane iliyofanyika Tabora, Singida na Tanga. Takwimu hizi zimetokana na ripoti ya Idara ya Uinjilisti ya mwaka 2025.

326walioamua kumpokea Kristo
8Mikutano ya Injili
3Mikoa iliyofikiwa
8Vijiji na maeneo
Ramani shirikishi ya mikoa ya TanzaniaBofya mkoa kwenye orodha hapa chini kuona taarifa zakeTaboraWatu 59SingidaWatu 42TangaWatu 225

Bofya mkoa kuona taarifa za uinjilisti

01

Tabora

59

Mwakashanhara 38 · Puge 21

02

Singida

42

Ibaga 26 · Ilongelo 16

03

Tanga

225

Gharambo 114 · Mkuzi 33 · Kwamba 38 · Tunguli 40

Idadi inaonyesha watu walioamua kumpokea Kristo katika kila eneo. Hatua inayofuata ni kuimarisha malezi na ufuatiliaji wa kila mwongofu mpya.

Mikoa yote ya Tanzania

Chagua mkoa

Mikoa yenye ripoti itaonyesha maeneo na idadi; mingine itaandikwa “Itakuja hivi punde.”

TaboraMwakashanhara 38 · Puge 21

Maktaba ya Uinjilisti

Vipeperushi vya Uinjilisti

Chagua kipeperushi unachotaka kusoma. Unaweza kukifungua hapa au kukipakua kwa matumizi ya Uinjilisti.

01

Mapambano

Kipeperushi cha mafundisho ya kiroho.

02

Mapambano ya Katuni

Kipeperushi chenye kurasa za mbele na nyuma.

03

Kizuizi Kimeondolewa

Ujumbe wa tumaini na wokovu.

04

Utamlaumu Nani?

Kipeperushi cha Injili na mwito wa kufanya uamuzi.

05

Kipeperushi cha Watoto

Ujumbe wa Injili ulioandaliwa kwa ajili ya watoto.

Malezi na ufuatiliaji

Fomu ya mwongofu mpya

Sajili taarifa za msingi kwa usahihi ili timu ya malezi iweze kumpokea, kumfuatilia na kumsaidia mwongofu mpya kukua ndani ya Kristo. Taarifa hizi ni za matumizi ya ndani ya kanisa pekee.