Nenda kwenye fomu
Mwenge Christian Centre
Tanzania Assemblies of God Church
← Back
Fomu Rasmi
Fomu ya Kujiunga na Kanisa
Sehemu zenye alama
*
ni lazima zijazwe.
01
Taarifa Binafsi
Tuanzie kwenye taarifa zako za msingi.
Jina Kamili
*
Namba ya Simu 1
*
Namba kuu ya mawasiliano.
Namba ya Simu 2
Hiari
Barua Pepe
Hiari
Jinsia
*
Chagua jinsia
Mwanaume
Mwanamke
Hali ya Ndoa
*
Chagua hali ya ndoa
Sijaoa/Sijaolewa
Nimeoa
Nimeolewa
Tumeachana
Mjane/Mgane
Kazi Yako
Hiari
02
Makazi na Ushirika
Tusaidie kujua zoni na eneo la huduma linalokufaa.
Anuani ya Makazi
*
Zoni
*
Chagua zoni yako
Zoni 01 - Kimara na Mbezi
Zoni 02 - Ubungo, Sinza, Kijitonyama na Riverside
Zoni 03 - Mabibo, Sahara, External, Maji Chumvi na Tabata
Zoni 04 - Mwenge Vijijini, Mwenge Sokoni, Mwenge Magorofani, Mikocheni, Kinondoni, Makumbusho, Msasani, Oysterbay na Masaki
Zoni 05 - Chuo Kikuu, Chuo cha Ardhi, Makongo Juu, Changanyikeni na Goba
Zoni 06 - Mlalakuwa, Survey na Mlimani City
Zoni 07 - Lugalo, Kawe, Kwa Komba, Bondeni na Tank Bovu
Zoni 08 - Mbezi Juu, Africana, Kunduchi Mbuyuni na Salasala Magengeni
Zoni 09 - Salasala Kwa Babu, Tegeta, Kibaoni, Wazo Hill, Ununio, Malolo, Basihaya na Chasimba
Zoni 10 - Boko, Boko Magengeni, Bunju A, Bunju B na Mabwepande
Zoni 11 - Mapinga, Kerege na Kiharaka
Zoni 12 - Kariakoo, Posta, Muhimbili, Upanga na Sea View
Zoni 13 - Kigamboni, Kurasini, Gongolamboto na Mbagala
Zoni 14 - Kanisani, Sinza A, Sinza B, Sinza Mori, Mapambano na Vinyago
Chagua zoni inayokaribiana zaidi na makazi yako.
Idara
*
Chagua idara
Wanaume (CMF)
Wanawake (WWK)
Vijana (CA's)
Watoto
Muziki na Uimbaji (DMS)
Uinjilisti na Umisheni
Uanafunzi na Maandiko
Maombi
Sina uhakika kwa sasa
Ubatizo
*
Chagua hali ya ubatizo
Nimebatizwa
Sijabatizwa
Nahitaji mafundisho ya ubatizo
03
Safari ya Kiroho na Usajili
Taarifa hizi zitatusaidia katika malezi na ufuatiliaji.
Tarehe ya Kuokoka
Hiari
Kanisa Ulilotoka
Hiari
Chanzo cha Usajili
*
Umefikia usajili huu kupitia wapi?
Ibada ya Kanisa
Mkutano wa Injili
Uinjilisti wa Mtaani
Nimealikwa na Rafiki/Ndugu
Mitandao ya Kijamii
Website ya Kanisa
Nyingine
Maelezo ya Ziada
Hiari
Neno Siri la Usajili
*
Neno siri litathibitishwa na mfumo wa kanisa baada ya database kuunganishwa. Halihifadhiwi kwenye browser.
Ninakubali taarifa nilizotoa zitumike na T.A.G Mwenge Christian Centre kwa madhumuni ya usajili, huduma, malezi na ufuatiliaji wa ushirika.
*
Tarehe ya usajili
—
Wasilisha Usajili
→